Napenda kuwasilisha mada kwenu ,Ni simu ya samsung galaxy S4 imepoteza ile orginal boot screen ya samsung s4 baada ya kua nmerestore nilipo iwasha inaleta bootscreen ilo andikwa android nmejarib kupitia pitia nujuayo mm kama kufanya recovery ila imenishinda kuirudisha katika hali ya kawaida naamin humu kuna wataalamu wenye uwezo mkubwa zaid naomben msaada wenu ,pia waweza nibip kwenye 0764013782 au ukanijib hum ndan jinsi ya kufanya