simba road
Member
- Dec 29, 2015
- 63
- 67
Nenda wakuchekie coilWakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa.
Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.
Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.
Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.
Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha?
Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.
Important details nazokumbuka.
1- Ina km 180904
2- cc1490
3- Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k
4- Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)
Please msaada nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar.
Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Ntajaribu mkuuPole
Ninadhani tatizo lipo hapa
"Please msaada nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar."
Gari kwenye foleni inatumia mafuta mengi zaidi.
Jaribu siku moja utoke Kimara kwenda Kibaha-Chalinze halafu ulinganishe na Tabata-Kivukoni
Fundi gani au garage gani nzuri.Nenda wakuchekie coil
Ntajaribu mkuu
Iuze haraka sana....hamna gari hapoWakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa.
Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.
Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.
Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.
Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha?
Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.
Important details nazokumbuka.
1- Ina km 180904
2- cc1490
3- Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k
4- Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)
Please msaada nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar.
Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Hakuna gari yake itakuwa inavuja oil somewhere. Pia abadilishe rabaIuze haraka sana....hamna gari hapo
Wapi ntapata fundi mzuri?Hakuna gari yake itakuwa inavuja oil somewhere. Pia abadilishe raba
DarHajasema yuko wapi...dar dodoma mwanza mbeya wapi ssasaaa??
Dar mafundi wengi sanaa.....
Asante, huyu mwenye hii namba ni wewe au ni fundi?njoo ilala mafundi wazuri sana.0754 918 820 abdallah mtaa wa arusha / Tanga
Sawa, je hata kama km ni nyingi hivyo still ulaji huu ni sahihi?Km zote hizo? Gari ishachoka aliyeuza sio mjinga!
Kabla ya hii ulikuwa unamiliki gari?Wakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.
Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.
Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.
Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha? Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.
Important details ninazokumbuka;
1. Ina km 180904
2. cc1490
3. Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k
4. Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)
Please msaada, nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar. Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Hapana, nilimiliki gari miaka 6 iliyopita ilikua mpya (used from Japan) nikauza sikuwa nchini na sikua na gari huko.Kabla ya hii ulikuwa unamiliki gari?