Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.
Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu.
CC: Mwl.RCTNjunwa WamavokoChief-MkwawagkiwangoCalvinPower