Habar zenu wakuu...!?!
nina simu yangu moja aina ya Huawei y530 inatatizo limetokea zaid ya mara nne saasa kuna muda inagoma,ku function kwenye message...whatsapp..Gmail.na Facebook yani application zote za communication nikitaka kufungua hzo application inanileteaa ujumbe....unfortunately messaging has stopped au unfortunately whatsapp has stopped or unfortunately instagram has stopped inaweza kukaa hata kutwa nzima siwez kuzifungua situmi txts wala sisomi txts............nili i restore lakin bado inagoma inaweza kukubal muda mwingine tatizo linajiruddia mwenye ujuzi na hii mambo anisaidie wakuu.asante
naipata vipi iyo launcher
Nikushauri, badilisha launcher, jaribu kutumia GOOGLE NOW launcher.
Nina simu kama hiyo. Kuhusu hiyo simu. . hakuna rom (custom rom) hivyo hatuna budi tutulie. Kuhusu crashing ya apps. Kumbuka ni simu ya RAM 512MB. hivyo response kwa apps zinazokula RAM. Itakuwa nzito kidogo... Cha kufanya piga hard reset. Au cheki kama iko rooted. Simu hizi zina majanga sana ukizi root. Au kama uliiflash...hiyo simu. Jibu naswali yangu then nione nakusaidiaje..
hii simu nnayo na nnaitumia kuutestia apps na shuguli zingine, custom rom hakuna ndio ila waweza customize iyo emui2 rom iliyonayo, japo rom iko stable unaweza ifanya iwe more stable kwa kutweak baadhi ya settings kwenye build.prop pia kuondoa app zisizo na umuhimu na kuongeza zenye umuhimu kwako.
flash custom recovery, ili uweze ku enjoy (japo nimegundua ile cwm sio rafiki wa chaji ukilinganisha na stock one)
ukitumia towelroot ndio ishu kama iyo ya internal storage kutoonekana, i unroot kisha tumia kingroot itakuwa poa internal storage itaonekana fresh, na kuhusu cwm recovery ina hitaji kuroot na bootloader iwe unlocked, hii inakusaidia kuflash flashable zips, pia kufanya nandroid backup ya rom na vitu vingine kama ku wipe dalvick cache, ku restore rom ku flash custom rom na mambo mengine mengi...Hapa. Nili root hii simu easily. Ila root ana own internal storage hivyo ikanikosesha raha kwa baadhi ya feautures zote zinazohitaji sd0. Sasa bhasi.. Kuhusu cmw si inahitaji root accsess? Unanishauri nini. Kuhusu hilo au? Nitoe gizani mwenzio.
cwm ni clockworkmod recovery, ni recovery kama twrp na zingine, inakuwa na feature ambazo zipo kwenye stock recovery na zingine nyingi ambazo hazipo kwenye stock recoveryUncleUber nipe ufafanuzi wa kina kuhusu cmw. Ili iwe stable na yangu pia.... Mimi sifahamu kuhusu maswala hayo.