Msaada wa e learning

samsamwel

Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
95
Reaction score
21
Habari wanajamvi, poleni na hongereni kwa pilika za hapa na pale.
Naomba kujuzwa au kusaidiwa vyuo vinavyotoa cozi za e learning na kutunuku vyeti, viwe vya nje coz vya ndani muda wa udahili umeisha (kwa OUT) ikiwa kuna uwezekano wa kujiunga naomba msaada. Ni kwa ngazi ya shahada na stashahada iwe inatoa kozi za IT pia security and desester control, education na mazingira. Cozi yoyote inayoendana na hizo na wawe wanatoa cheti. Namaanisha online courses, toka University au college [emoji310] yoyote ile itoayo cheti kwa wahitimu kwa bure au za kulipia. Naomba kuwasilisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…