wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 287
- 151
Asante kwa ushauri,unaweza kunitumia picha ya huo mti nijaribu kuutafuta huku niliko.Ungekuwa karibu ningekupa dawa za mitishamba ila ni chungu hatari. .
Ila hata Alovera inasaidia tumia hiyo, ila chungu sana. .
Habari za muda huu wadau?
Nina tatizo la Tumbo "Kunguruma" linalonisumbua kwa muda mrefu sasa. Hali hii hunitokea zaidi wakati wa usiku, na siku za karibuni limeanza Kunguruma hata nyakati za mchana.
Naomba msaada wa dawa ambayo ninaweza kuitumia.
Mti unaitw mpatakuva. Nikifika home itakutumia
Hakuna maumivu yoyoteTumbo kukoroma, maumivu vipi...
Dawa za minyoo vipi ulishatumia?
Ulishawahi Pima choo?
Choo ni cha kamasi ama kigumu?
Nenda hapo phamacy chukua ALBEN DOSE TEMBE 6 Kwa 3000 tu utakuja nishukuru siku hiyohiyo na mrejesho uulete hapahapaHakuna maumivu yoyote
Dawa za minyoo nina muda sijazitumia
Sijapima Choo
Choo Cha kawaida tu