neyba Member Joined Jan 23, 2019 Posts 11 Reaction score 2 Jan 23, 2019 #1 Jamani mdogo wangu meno yametoboka sana je, kuna dawa ambayo inaweza kumsaidia bila kung'oa meno Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mdogo wangu meno yametoboka sana je, kuna dawa ambayo inaweza kumsaidia bila kung'oa meno Sent using Jamii Forums mobile app
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,218 Reaction score 54,714 Jan 23, 2019 #2 Madaktari wa meno mnaitwa huku
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,240 Jan 23, 2019 #3 Na mimi nasubir kuisikia tiba ya meno haswa ni dawa gan? Sent using Jamii Forums mobile app
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,257 Reaction score 98,852 Jan 24, 2019 #4 Mpe pole sana....EBu ulizia tiba ya magome ya mkaratusi.
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Jan 24, 2019 #5 neyba said: Jamani mdogo wangu meno yametoboka sana je, kuna dawa ambayo inaweza kumsaidia bila kung'oa meno Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ajaribu sensodyl.. Sent using Jamii Forums mobile app
neyba said: Jamani mdogo wangu meno yametoboka sana je, kuna dawa ambayo inaweza kumsaidia bila kung'oa meno Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ajaribu sensodyl.. Sent using Jamii Forums mobile app