swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Ngoja tuwasubiri wataalamu wajeHAMJAMBO WAPENDWA,
Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..
Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu.
1-Ampclox
2-Pen-V(Kutafuna)
3-Cepro+Azuma
Dawa za kienyeji.
1.Maji ya moto yenye Chumvi.(kusukutua)
2.Kuchua kwa Mafuta ya Taa
3.Mchanganyiko wa Limao, tangawizi, kitunguu saumu,na Asali.
4.Majani ya Mlavumba unayatafuna na chumvi.(Majani flan machungu Sana na yanawasha na kuwa kama yanakatakata kwenye vidonda.)
Madonda hayajavimba kwa Nje yaani hayaonekani, ni ugonjwa unaojirudia Mara kwa mara, na Mara zote huwa napona kwa kusukutua maji moto yenye Chumvi na Vidonge vya ampclox Napona, Lakini Awamu hii imekuwa Tofauti Sana.
Situmia Vinywaji vyovyote vya Baridi Wala siiishi Mkoa wenye Baridi..
Msaada Tafadhali.
Nateseka sanaUgonjwa inaumiza sana huo..kumeza maten n shighul
Pole Mkuu ninaweza kukutibia maradhi yako na utapona. Nitafute kwa wakati ili niweze kukutibia maradhi yako.HAMJAMBO WAPENDWA,
Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..
Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu.
1-Ampclox
2-Pen-V(Kutafuna)
3-Cepro+Azuma
Dawa za kienyeji.
1.Maji ya moto yenye Chumvi.(kusukutua)
2.Kuchua kwa Mafuta ya Taa
3.Mchanganyiko wa Limao, tangawizi, kitunguu saumu,na Asali.
4.Majani ya Mlavumba unayatafuna na chumvi.(Majani flan machungu Sana na yanawasha na kuwa kama yanakatakata kwenye vidonda.)
Madonda hayajavimba kwa Nje yaani hayaonekani, ni ugonjwa unaojirudia Mara kwa mara, na Mara zote huwa napona kwa kusukutua maji moto yenye Chumvi na Vidonge vya ampclox Napona, Lakini Awamu hii imekuwa Tofauti Sana.
Situmia Vinywaji vyovyote vya Baridi Wala siiishi Mkoa wenye Baridi..
Msaada Tafadhali.
Mzee wa fursaaaPole Mkuu ninaweza kukutibia maradhi yako na utapona. Nitafute kwa wakati ili niweze kukutibia maradhi yako.
OkSasa ngoja nikupe hitimisho ndugu,mi mwenyewe mwaka huu mwez wa nne hv nimeteseka kama 2 au 3 weeks na hako kaugonjwa ka kuumiza,inshort hiyo huwaga ni aina ya fangas hivi,wewe kanunue nystatin dawa ya kunywa halafu jitahidi karibia kila siku kula atleast machungwa mawili au maparachichi ikiwezekana.basi u gonna be well.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu kitu hiki mkuu!Pamoja na kutuma dawa za antibiotic, epuka kutuma mate chooni. Kama una tabia ya kutema mate chooni, tociles zitakuwa kwako kama Pete na kidole.
"Kalaga baho".
Acha kutumia tangawizi,limao pilipili na vitu vyote vichungu ndo maana huponi kwa sababu uchungu wa hivi vitu ndo unaoongeza ugonjwaHAMJAMBO WAPENDWA,
Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..
Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu.
1-Ampclox
2-Pen-V(Kutafuna)
3-Cepro+Azuma
Dawa za kienyeji.
1.Maji ya moto yenye Chumvi.(kusukutua)
2.Kuchua kwa Mafuta ya Taa
3.Mchanganyiko wa Limao, tangawizi, kitunguu saumu,na Asali.
4.Majani ya Mlavumba unayatafuna na chumvi.(Majani flan machungu Sana na yanawasha na kuwa kama yanakatakata kwenye vidonda.)
Madonda hayajavimba kwa Nje yaani hayaonekani, ni ugonjwa unaojirudia Mara kwa mara, na Mara zote huwa napona kwa kusukutua maji moto yenye Chumvi na Vidonge vya ampclox Napona, Lakini Awamu hii imekuwa Tofauti Sana.
Situmia Vinywaji vyovyote vya Baridi Wala siiishi Mkoa wenye Baridi..
Msaada Tafadhali.
Be cautious usikute ndo unaongeza petrol kwenye moto 🤣 🤣Chhieef umefanikiwa kupona, mje augonjwa huo huwa napona kwa kunywa kitu cha moto na kukifosi kipite kooni kikiniunguza kimtindo, siku 4 zilizopita yalinikamata niliponea kunywa tangawizi ya vijiweni, nimepiga tangawizi siku mbili mfululizo yamepotea.
Hzo Ni imani tu bhn wanasema ukikuta mavi ukayatemea mate bas Koo la saut itakauka utapoteza sautPamoja na kutuma dawa za antibiotic, epuka kutuma mate chooni. Kama una tabia ya kutema mate chooni, tociles zitakuwa kwako kama Pete na kidole.
"Kalaga baho".
Mungu aninusuru, ila ugonjwa huu huwa naponea hizo kituBe cautious usikute ndo unaongeza petrol kwenye moto [emoji1787] [emoji1787]
Mimi ilikuwa kama wewe,siku ilipolipuka acha tu 🤣 🤣 🤣- Ni karibia 2yrs na hamna relief ya maanaMungu aninusuru, ila ugonjwa huu huwa naponea hizo kitu