Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 640
- 615
Pima minyoo kama unayo.Habarini za majukumu wanajf nahitaji msaada wa mawazo nasumbuliwa na dry coughing wiki sasa, nimeenda Aga khani hospita kupima vipimo vyote viko sawa bado cha makohozi tu. Dawa ninazo kama benylin dry cough , azithromycin tablets na citirizine tablets. Shida nikicheka au kuongea ndo nakohoa sana hadi kichwa kinauma. Mawazo yenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
AsantePole sana mkuu.
Sawahebu kunywa dawa za minyoo,kwa kawaida minyoo husababisha kikohoz kikavu hata unywe jaribu vumtrax siku tatu then uskilizie
Asante
Sijaenda huku mkuu nilikuwa DodomaUlienda China hivi karibuni?
Nakunywa tangawizi ila sijaenda china msinikimbie ndg zanguPole,Sana,tangawizi haisaidii?.
Umetoka China hivi karibuni?
jpili ya 12 January 2020Dawa ya minyoo mara ya mwisho lini kutumia?
Naweza kutumia tena nilitumia tar 12/January/2020hebu kunywa dawa za minyoo,kwa kawaida minyoo husababisha kikohoz kikavu hata unywe jaribu vumtrax siku tatu then uskilizie
Kwa kipimo gani? yaani vijiko vingapi asali ndimu kiasi gani?
Asali kijiko 1 Cha chakula na ndimu kipande(juice yake) changanya ulambe ..muda wowote ule..fanya hivyo hadi utakapoona upo vyemaKwa kipimo gani? yaani vijiko vingapi asali ndimu kiasi gani?
Asante sana nitafanya hivyo na nitaleta mrejesho kwako, uwe na siku njemaAsali kijiko 1 Cha chakula na ndimu kipande(juice yake) changanya ulambe ..muda wowote ule..fanya hivyo hadi utakapoona upo vyema
Sent using Jamii Forums mobile app