Habari wandugu,
hivi hang-over/mning'inio una dawa? maana hapa nina hang over ya hatari baada ya jana kunywa sana pombe. jamani mwenye kujua dawa naomba anijulishe ili nijitibu.
natanguliza shukrani
mzee wa liverpool, ndo naelekea pub kushitua mbili then nirudi home niingie JF.ila JF imenisaidia sana leo, muda wote nilikuwa nasoma threads,nimejifunza mengi sana humu wakati kakichwa kanauma.
pamoja