Huyo mtu bila shaka ni wewe maana hata huo uandishi umekaa kibashite bashite.Habari wakuu Nina Mtoto wa Ndungu ya (KE) kamaliza shule mwaka Jana bahat mby kafeli Ameniomb nimsaidie kutafuta Course ya kusomea matokea yake ni Hata
Chem D English C Math F Kiswahili C Civ D Biology D Hist D Geo D
Aliachaga Physics Nilimshauri Asome Ualimu akagoma Msaada kwa hapa wakuu.....
Sasa alikataa kusoma ualimu ili akasome nini maana hata ualimu wenyew sijui kama angelipata kwa matokeo hayo mwambie atafute mwanaume aolewe tuHabari wakuu Nina Mtoto wa Ndungu ya (KE) kamaliza shule mwaka Jana bahat mby kafeli Ameniomb nimsaidie kutafuta Course ya kusomea matokea yake ni Hata
Chem D English C Math F Kiswahili C Civ D Biology D Hist D Geo D
Nilimshauri Asome Ualimu akagoma Msaada kwa hapa wakuu.....
Grow Up mzee heshma kitu cha bure una bwabwaja kama mwanamke bhana huna cha kusema kaa kimya sio lazma uongeeHuyo mtu bila shaka ni wewe maana hata huo uandishi umekaa kibashite bashite.
Ushauri ninaokupa ni huu;Acha shule kalime matikiti maji yanalipa sana au kafuge kuku wa kienyeji.
Ivi we jamaa kwann unapenda kukatisha watu tamaa?Huyo mtu bila shaka ni wewe maana hata huo uandishi umekaa kibashite bashite.
Ushauri ninaokupa ni huu;Acha shule kalime matikiti maji yanalipa sana au kafuge kuku wa kienyeji.
Sasa kwa huo uandishi wako mbovu kwa nini nisikuchane?Grow Up mzee heshma kitu cha bure una bwabwaja kama mwanamke bhana huna cha kusema kaa kimya sio lazma uongee
hizi zinatolewa vyuo gan mfano hiyo Api culture na hiyo office Equipment repairAngalia hizi certificates usiangalie umaarufu
Certificate in Apiculture
Certificate in Office Equipment Repair and Maintenance
Certificate in Graphic Design
Certificate in General Agriculture
Certificate in Animal Health and Production