Wakati fulani niliwahi kufikiria kuanzisha online platform ambapo watu wangeweza kuweka nyumba na vyumba vya kupangisha ili kwa mhitaji wa chumba apite hapo na kuchagua anachohitaji, lengo kuepusha usumbufu wa kuzunguka mitaani kutafuta chumba cha kupanga. Labda tuwaombe moderators wa JF watuwekee jukwaa la namna hiyo kwa sababu naamini wahitaji wa huduma hii ni wengi sana kwa kuzingatia hadhira ya JF. Ipo mitandao currently inayotoa huduma kama hiyo ila ni kwa majumba expensive sana sio hizi zetu za Tabata na Sinza (Maisha yetu ya kawaida).
Tujaribu kuliweka hili wazo vizuri tupate huduma hii hapa JF.
Cc; Buchanan, Maxence Melo, @invicible
oya nimeenda SINZA Madalali wananionesha vyumba vya laki moja vipo ovyo tu nami nilitegemea kizuri.Cjui jamaa wanadhani hela ipo sana au sijui kwa sababu kipo karibu na the law school.sinza single chini ya laki moja utapata kizuri tu
mkuu Yaani hicho kingekuwa SINZA ningekuja kesho saa kumi na mbili asubuhi bwanaKuna vyumba ubungo maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
Kuna vyumba ubungo maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
mkuu weka bei na no yako ya cmKuna vyumba ubungo
maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio
upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
Kuna vyumba ubungo
maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio
upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
Kuna vyumba ubungo maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
mkuu weka bei na no ya cm