Duh! Mkuu unataka utafuniwe tu we umeze!!
Hizo highlights atoe wap?Nitakusaidia kwa upande wa kuedit kama una computervtumia adobe premire pro kufanya edition, kwa upande wa kupata subscribers weka thumnails zinazovutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakusaidia kwa upande wa kuedit kama una computervtumia adobe premire pro kufanya edition, kwa upande wa kupata subscribers weka thumnails zinazovutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsant bro
Na hiyo isue ya thumbnails ninajarib kufatilia ila bad nashindwa kupata uhakika wa kuiweka ili ionekn juu ya video kama weng wanavyofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujafikia huko kwanza unahitaji kufikiria upya kwenye source ya content. Kutengeneza content ni gharama (pesa au/na muda). Content unazoziona ni watu wametumia gharama kurekodi uwanjani, hivyo wanamiliki copyright juu yake. Huwezi kuchukua content ya mtu na kuiweka kwenye channel yako bure, kwa kufanya hivyo unakua ume infringe copyright zao. Ili utumie content ya mtu aidha
1) Uwe na ruhusu kutoka kwake (ya maandishi preferably), ya kutumia maudhui yake kwenye channel yako.
2) Iwe ni fair use. Labda unareact juu ya jambo lililotokea na ukaonyesha sehemu ya kipande cha mechi. Japo nayo wamiliki wanaweza bado kuclaim umeingilia hatimiliki yao, na ikawa juu yako kuonyesha kwamba ni fair use.
Hivyo unatakiwa kutengeneza maudhui yako mwenyewe. Sio kuchukua kutoka kwa mtu mwengine.
Fahamu kuwa ni kosa na hairusiwi kudownload kitu chochote kweny mtandao wa Youtube na kuweka tena Youtube kweny chanel yako hapo chanel yako itafutwa fasta maana utakuwa unacopy na kupest kitu ambacho Youtube wenyewe hawataki wanataka kila mtu awe anaweka kazi zake na sio kuiba ama kuchukua za watu na kuweka kwa chanel yako
Nilichosema ni kwamba unaweza kupost na kwako kwa masharti ya:Uongo mkubwa.
Channel ngapi tunaziona YouTube zinapost reviews za mechi kibao ulaya. Zina subscribers wengi na zinapata views za kutosha.
Nilichosema ni kwamba unaweza kupost na kwako kwa masharti ya:
1. Uwe na ruhusa
2. Iwe ni fair use
Je, channel hizo zinapost video za mechi bila ruhusa na zinapost hizo mechi kama zilivyo?
Mkuu hatuzungumzii mechi zilivo, hata mtoa mada kasema ni reviews za mechi.
Channel kibao zinapost hata hapa nipo naangalia reviews ya Tottenham vs Man City ile penalty aliyokosa man city.
Kitu kimoja huwa common kama umeangalia vizuri, kwanza video nyingi za highlights zinaquality ndogo, zina size isiyo rasmi nikimaanisha zinakuwa na size za ajabu katika screen. Hizo ni baadhi ya mbinu wanatumia kukwepa youtube algorithm isizigundue. Angalia video za wachambuzi wa mpira, ikifika kipindi cha highlights ya mechi inaonekana wanaziba on youtube. Pia Video zilizopo za mechi ni kwamba hazina adsense enabled. Kama hauja monetize video inaweza kukaa lakini nayo inategemea na ni content ya nani, ndo maana karibu highlight zote ni za kiarabu, sio za supersport zenye English commentary. Some content owners are strict hata hiyo bila matangazo tu hawataki. Ni makosa kuchukua content ya mtu na kuweka kwako bila makubaliano yoyote kutoka kwa mmiliki
Inategemea na chanzo cha content mkuu. Kwa muziki kuna mitandao mingi inatoa muziki bure bila "royalty". Hii inamaanisha ni bure sio lazima uweke chanzo, lakini kuna inayotoa bure ila wanakwambia ni lazima uweke source na kuna vyanzo ambapo ni lazima ununue bila kujali umeweka link au vipi. Na ukitumia algorithm ya youtube inaugundua na kuclaim. Kama vile ukitumia muziki wa wasanii wakubwaVipi kama nitakua nachukua content kisha na acknowledge source kwenye description link kwa chini...
Naonaga reviewers wengine wa mechi wanatumia Trap beats (kama ushaona mfano best goals in EPL 2018) wakati magoli yanaoneshwa kunakua na beats kali zinaplay background.
Kisha ukichek kwenye description wanaweka source ya hizo beats.
Hii haitoshi kukwepa copyright infringement??
What is the point of sharing the video here?