Msaada wa britness adjustment kwenye laptop

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Ninatumia Toshiba Satellite L800. Wakati nainunua ilikuwa inaadjust brightness kwa kuhold FN na F2/F3 keys vizuri tu.
Lakini nilipoi-reformat hai-adjust brightness tena ispokuwa operation nyingine zipo normal.

Kwa mwenye idea ya ku-solve hili tatizo anisaidie plz.
Thank you all.
 

Umeinstall VAP Drivers?
 

Nadhani umesahau kufanya installation ya TOSHIBA Flash Cards Support Utility [AKA Hot Keys, Fn Keys]

Fanya installation hiyo na mambo yako yatakuwa safi...

NB: Kwa mujibu wa manual ya hilo toleo la Toshiba yako, nadhani hakuna haja ya kutumia Fn Key, kuongeza au kupunguza mwanga tumia tu F2 na F3
 

Unatumia OS gani mkuu?
 
Mkuu hekimatele nafikiri unanifananisha na @c.t.o

ni watu wawili tofauti
anyway mcheck
@c9

anaweza kumsaidia

Pole sana mkuu, naona hekima tele anakufananisha sana na @C.T.O maana naona ni kama mara ya tatu sasa!!:love:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hekimatele nafikiri unanifananisha na @c.t.o

ni watu wawili tofauti
anyway mcheck
@c9

anaweza kumsaidia

Pole bhana mkuu. Tatizo nyi mnakaribiana sana majina. Yani kama Hamidu na Hamida. The latter is ''she'' and the former is ''he''. Sasa kati yenu sijui nani me na nani ke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…