Habari zenu wadau
Natumai humu wapo wadau wa iringa maeneo ya mafinga nilikuwa naomba kujua bei ya reja reja ya ubao aina ya saprus wenye ukubwa wa mbili kwa Sita, 2 by 6 na mbili kwa nne 2 by 4