A Allydasmartboy001 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2018 Posts 604 Reaction score 218 Jul 25, 2020 #1 Natumia laptop nataka Apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Jul 25, 2020 #2 Allydasmartboy001 said: Natumia laptop nataka apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu Click to expand... Ms Word ndio powerfull Word Processor. Zingine zote wamekopy kutoka kwenye word. Nikushauri uendelee kutumia hiyo hiyo word kwa sababu faida zake ikiwemo WYSIWYG itakufanya upate matokeo halisia. Jifunze advanced features zake hutaichoka.
Allydasmartboy001 said: Natumia laptop nataka apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu Click to expand... Ms Word ndio powerfull Word Processor. Zingine zote wamekopy kutoka kwenye word. Nikushauri uendelee kutumia hiyo hiyo word kwa sababu faida zake ikiwemo WYSIWYG itakufanya upate matokeo halisia. Jifunze advanced features zake hutaichoka.
A Allydasmartboy001 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2018 Posts 604 Reaction score 218 Jul 25, 2020 Thread starter #3 Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka
NyandaP Member Joined Feb 1, 2019 Posts 24 Reaction score 25 Jul 25, 2020 #4 Allydasmartboy001 said: Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka Click to expand... Pata ya 2013 iko safi sana
Allydasmartboy001 said: Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka Click to expand... Pata ya 2013 iko safi sana
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Jul 26, 2020 #5 Allydasmartboy001 said: Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka Click to expand... Iko vizuri pia maana features za muhimu zote zipi. Ila jaribu pia version za juu kama 2013, 2016.... N.k . Utapata flavour zaidi
Allydasmartboy001 said: Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka Click to expand... Iko vizuri pia maana features za muhimu zote zipi. Ila jaribu pia version za juu kama 2013, 2016.... N.k . Utapata flavour zaidi
A Allydasmartboy001 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2018 Posts 604 Reaction score 218 Jul 26, 2020 Thread starter #6 ymollel said: Iko vizuri pia maana features za muhimu zote zipi. Ila jaribu pia version za juu kama 2013, 2016.... N.k . Utapata flavour zaidi Click to expand... Asants kaka
ymollel said: Iko vizuri pia maana features za muhimu zote zipi. Ila jaribu pia version za juu kama 2013, 2016.... N.k . Utapata flavour zaidi Click to expand... Asants kaka
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,768 Jul 26, 2020 #7 UMESOMEA uandishi...?
Lawrance franci Member Joined Oct 14, 2011 Posts 98 Reaction score 121 Jul 31, 2020 #8 Labda useme ya kuandikia SCRIPT Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app