Wadau naomba anayeweza kunipatia APK file la JamiiFrorum for android anisaidie. Ninashindwa kulidownload kutoka google store kwani simu yangu haina client ya gmail na nimeshindwa kwabisa kui-install.
what does a gmail client have to do wth downloading from play store. just create a google account nenda kwenye settings add an account u just created,go to play store it will automatic sign u in,search for the app.
mkuu Kang nakushukuru kwa msaada wako. Kwahiyo sisi wenye android za kichina hatuwezi kutumia application store?. nilidownload nilipoweka nikifungua inaniambia ni lazima nicreate account kwanza, nikiclick create inapotea tu. Na nimejaribu ku-install gmail client nikashindwa ila ile ya yahoo inafanya vyema
Play Store ya Google haiko supported officially, kwenye simu za kichina. Ila kuna njia za kujaribu kulizunguka hilo, jaribu kubonyeza menu key kisha settings, halafu, accounts and sync. Add account ya gmail hapo hakuna haja ya gmail client.