Ni nyimbo flani hv I think ni ya south Africa wanaimba (Selebona,Selebona,Selebona) plz wakuu kwa anaejua walioimba huu wimbo Msaada Tafadhal hii nymbo ni ya kitambo kidogo
Kulikuwa na south African singers like Mamelodi na pia wanawake fulani nimesahau songs zao ila zilikuwa poa sana like mmoja wakiimba iwe zinduna ai zinduna ah