Msaada wa adobe cs 3

najua

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
224
Reaction score
54
Nimekuwa najaribu kuinstall adobe cs 3 creative master collection lakini installation inakuwa haimalizi na hakuna error message, nimejaribu fanya system restore kwa computer ninayotumia haikubali nimejaribu compatibility settings haikubali na hii ni software(cs3) ya pili haikubali ila kwenye computer nyingine zinafanya kazi. Sasa nimesoma installation instruction computer yangu imekidhi vigezo vyote kasoro hiki kimoja kuwa software inahitaji window xp and vista (32 bit certified), mimi computer yangu ni window 7 home premium with 64 bit, nahisi hili ndio itakuwa tatizo kwa mwenyekujua jinsi ya kusolve hilo tatizo anisaidie. Au mwenye adobe cs 5 labda inaweza kuwa installed . Ni program hii tu ambayo inasumbua kuinstall.
 




unacho takiwa kufanya kama software inahitaji windows xp and vista na unataka kuitumia ktk windows 7 right clik hiyo software nenda properties nenda compatibility click run this program in compatibility mod for chagua windows 7 than apply ok baada ya hapo jaribu ku intall


 

imekataa pia, inawezekana operating system yangu ikawa na tatizo au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…