stella maris(tawi la sauti mtwara) www.stemmuco.ac.tz au Muslim University of Morogoro www.mum.ac.tz MUM ni Muslims University sio Islamic University hivyo yoyote anaweza soma bila kujari dini(imani)
Hawatozi ada ya malipo ya maombi ila wanamfumo mzuri sana katika uombaji kiasi kama haujakidhi vigezo vya kuomba kozi yoyote basi mfumo unakukataa hapo hapo kwenye keyboard huwezi kusonga mbele.