Wasaaalam wanajamvi,natumai nyote mko salama salmin.
Naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye vitabu mbalimbali(inspirational,philosophical,biographies,historical,novel) softcopy,anisaidie hata kwa link au site nzuri nitakayo weza download free(ukiachana na google book).Natanguliza shukran kwenu!