Hii nyumba ni kubwa. Kwa mahesabu ya haraka haraka Urefu x Upana sio chini ya 18mx 15m hivi. Binafsi hua sipendi sebule ikae katikati ya nyumba maana itakua haina hewa, ningekua ni mimi hiyo sebule ningeipeleka kulia ili iwe na madirisha mbele na pembeni halafu dinning ndio ije katikati.Ndugu zangu!
Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.
Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.
Natanguliza shukrani.[emoji1488]
View attachment 1984040
Ncha Kali.
Naweza kutumia ScaleFactor nikaweka Detailed Dimensions ndani ya Dakika 10 tuNdugu zangu!
Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.
Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.
Natanguliza shukrani.[emoji1488]
View attachment 1984040
Ncha Kali.
Dah.hii ya kizalendo zaid il a msaidie tu mkuu.Naweza kutumia ScaleFactor nikaweka Detailed Dimensions ndani ya Dakika 10 tu
Tatizo nikikusaidia nitakuwa nimeshiriki Wizi uliofanya
Naweza kutumia ScaleFactor nikaweka Detailed Dimensions ndani ya Dakika 10 tu
Tatizo nikikusaidia nitakuwa nimeshiriki Wizi uliofanya
Haifiki hukoMkuu asante kwa kuja, unaweza kusaidia kwa namna yoyote nzuri kwako. Ila kama ukinipa nafasi nichague, mimi hata ukiweka hapo tu nitaelewa.
Mfano:
Urefu na upana wa jengo.
Sebule, jiko, dining, chumba 1-4…. ukiweka urefu na upana kwa namna rahisi inatosha kueleweka.
So far nimekadiria jengo liwe 17mx13m.
Acha ujuaji, haiwezi kufika ukubwa huoHii nyumba ni kubwa. Kwa mahesabu ya haraka haraka Urefu x Upana sio chini ya 18mx 15m hivi. Binafsi hua sipendi sebule ikae katikati ya nyumba maana itakua haina hewa, ningekua ni mimi hiyo sebule ningeipeleka kulia ili iwe na madirisha mbele na pembeni halafu dinning ndio ije katikati.
HayaAcha ujuaji, haiwezi kufika ukubwa huo
Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuuHaifiki huko
- ipo hivi
Kwa mbele (Front view), itawakilisha upana
Jumla kwa mbele ni 14.8m
- master room ni 4.6m, sehemu iliyotokeza ya choo chake ni 0.5m
- sitting room 5m( sawa na verandah)
- Dining 3.5m
- Kitechen verandah iliyotokeza 1.2m
Kwa nyuma (rear view)
Jumla upande wa nyuma (rear view) ni 14.8m
- sehemu ya kitchen veranda iliyokeza 1.2 m
- store 1.2m
- bedroom 3.5m
- sh 1.2m
- wc 1.2m
- bedroom 3m
- bedroom 3.5m
Kwa pembeni kulia (right view), itawakilisha urefu
Jumla kwa pembeni kulia jumla ni 12.7m
- sehemu iliyotokeza ya entry verandah 2m
- master room 4m
- choo Cha master room 1.5m
- choo Cha bedroom ya kawaida 1.2m, ambayo ipo usawa wa corridor
- bedroom 3.5m
- sehemu iliyotokeza ya bedroom 0.5m
Kwa pembeni kushoto(left view)
Kwa pembeni kushoto jumla ni 12.7m
- sehemu iliyotokeza ya entry verandah ni 2m
- dining 2.7m
- kitchen pamoja na kitchen veranda 4m
- store 2.5m
- sehemu ya bedroom iliyotokeza 1m
- sehemu ya bedroom iliyotokeza 0.5m
Hivyo ukubwa wa nyumba ni 14.8m kwa 12.7m
Ushauri; kwenye wc na sh, hapo "sh" ife na iwe wc ya bedroom iliyo karibu yake hapo ili kuipa privacy kwa maana mlango wake upo karibu na sehemu ya wazi ya sitting room, kwa maana mtu akitoka na taulo kwenda kuoga walio sitting room wote watamuona
Then, hiyo wc ndio itakua choo na bafu at the same time
Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi ndio mkandarasi niliyeshindikana
Boss hapo hizo Dimensions....ni ndani ya chumba au nje ( ukijumlisha na kuta) ?Haifiki huko

Duh! Haya bana! Next time tafuta Mtaalam akusaidie! Hatunaga gharama sema hamjui tu! Unapata Design ya aina yako ya kipekee! Anyways, Mzigo huo hapo Mkuu!View attachment Ncha Kali.pdfUna dhambi ngapi mkuu hadi ukwepe hii ya wizi wa kusaidia?
Hebu rahisisha maisha bhana.[emoji3]
Hiyo hapo! Jiachie! Pdf niliyoattach kwenye post #30 itakufaa zaidi!Una dhambi ngapi mkuu hadi ukwepe hii ya wizi wa kusaidia?
Hebu rahisisha maisha bhana.[emoji3]
Anza na kitanda ni 6 x 6 milangoNdugu zangu!
Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.
Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.
Natanguliza shukrani.[emoji1488]
View attachment 1984040
Ncha Kali.
Duh! Haya bana! Next time tafuta Mtaalam akusaidie! Hatunaga gharama sema hamjui tu! Unapata Design ya aina yako ya kipekee! Anyways, Mzigo huo hapo Mkuu!View attachment 1988995
Poa!Umetisha sana mkuu, nawashukuru wote na kipekee shukrani kwa mtani wangu mhandisi Countrywide
Kuwa 16 kwa 14 mita, ni kosa kubwa. Ni matumizi mabaya ya pesa na nafasi.Hiyo hapo! Jiachie! Pdf niliyoattach kwenye post #30 itakufaa zaidi!View attachment 1988999
Ni Center linesBoss hapo hizo Dimensions....ni ndani ya chumba au nje ( ukijumlisha na kuta) ?
Sawa boss....Ni Center lines
Sikubaliani na huo ukubwa, 16 kwa 14 ni matumizi mabaya ya nafasi na pesa.Umetisha sana mkuu, nawashukuru wote na kipekee shukrani kwa mtani wangu mhandisi Countrywide
Coet - Civil 2011, ila nimefanya training nyingi sana kwenye quantity surveying na kwenye architectureSawa boss....
ARU au MUST?....ndiko tulikopata ujuzi?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Yeah....Mhandisi lazima ujiupdate....Coet - Civil 2011, ila nimefanya training nyingi sana kwenye quantity surveying na kwenye architecture