Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi(BA.Ed/BSc Ed vs B.Ed) ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli. Kwanza kabisa nipende kuwafahamisha kuwa Bachelors of education zipo za aina nyingi, wengi wamezoea...