Kujiridhisha na kujua hata mengine, fungua website ya TRA, kuna sehemu ya calculator kwa magari na list ya base price in market, download hizo table halafu utakuwa unaweka aina ya bei ya gari husika , ukubwa wa Engine,na mwaka wa gari kutengenezwa na kuona makadirio ya kodi kwa gari lako tarajiwa,