Msaada ushauri wa kusoma ili kuhama kada

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Naomba ushauri, mimi ni mwalimu graduate wa BAED-HK na ninahitaji kusoma kozi nyingine mf; accountancy kwa post graduate au nyingine yoyote. Lengo ni kusoma kada ambayo baada ya kumaliza kuisoma nipate wepesi wa kupata recategorization toka kwa mkurugenzi bila kuathiri muda wangu wa utumishi serikalini. Zaidi pia nahitaji kusoma evening program mana sina ruhusa. Nipo mwanza.
Ushauri ninaohitaji ni kozi ipi ipo marketable ikizingatiwa kuwa mimi ni mwajiriwa wa serikali na ninataka nibaki serikalini. Nakaribisha ushauri. Nipo Mwanza jiji.
 
Tafakari chukua hatua fikiria mwenyewe maana kila mmoja katika maisha Ana choice yake
 
Kwa madhumuni ya kubadilishwa kazi lazima usome shahada ya kwanza ili uweze kubadilishwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…