Daaah mkuu nadhani ni software wise japo sina hakika sana maana maujanja ya haya mambo siyajui vizuri..ila nikichomeka kitu chochote kwenye port ya usb hakifungui naambiwa u have no permission