Habari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda mwenye ufahamu kidogo aniambie natakiwa kupitia wapi na wapi