msaada, unlocking iphone

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
Habari za kwenu wanaJF,
Nimekuwa nikitumia iphone 3gs kwa muda kidogo. Ilikuwa locked wakati nimeipata but nikaupdate to ios 5.1.1 na kuiunlock. sasa hivi karibuni cydia ilicrash.kila nikitaka kufungua ilikuwa haifunguki ndipo hapo nikaamua kurestore my device. nilipo restore tu device na kujailbrake nikajaribu kuunlock ikakataa kabisa. nikaamua kuupgrade kwenda kwenye ios 6.1 lakini bado ikawa haitaki. mpaka sasa nimeshindwa kabisaaa kuiunlock..
kuna mtu ambaye alishawahi kulipata hili tatizo au mtu yoyote ambaye anajua jinsi gani ya kutatua hili tatizo na anieleze linasababishwa na nini?
natanguliza shukrani
 
Kama umeshajailbreak hiyo ios 6.1 fungua cydia then SOURCES, then ADD, then edit alafu weka 'www.repo666.ultrasn0w.com' alafu utasearch 'Ultrasn0w' version 1.2.8, instal hiyo alafu reboot simu itapata network! Isipokubali, upgrade baseband 'modem firmware' kwenda 06.15,,though hiyo iPad baseband inakula sana charge
 
Brakelyn nimeshafanya hayo yote unayosema..my iphone has a baseband of 06.15.00 ....

Nimejaribu kugoogle for solution but nimeona watu wachache saaana wenye tatizo kama langu na nimejaribu kufuata baadhi ya maelekezo ila bado haijaunlock. nimetumia hadi ultrasnow fixer
 
Last edited by a moderator:
nilishawahi kukumbwa na tatizo kama lako kwenye 3gs, though sikuhizi redsn0w inaweza kuDowngrade iPad Baseband mpaka 05.13.04 ambayo ni compatible na ultrasn0w. jaribu hivi..

steps:
- direct link redsnow 0.9.15b3 ( https://sites.google.com/a/iphone-dev.com/files/home/redsn0w_win_0.9.15b3.zip?attredirects=0 )
- Unzip the contents of the downloaded compressed file and save to a familiar location on your PC or Mac.- Download the IPSW file of iOS which is currently running on your device, use the search bar on the right-hand side of this post to hunt for the required files. Once downloaded and saved to a safe location, move to the next step. You can check which version of iOS you are running by going to Settings > General > About > Version.
- Launch Redsn0w and click on the Extras button on screen.
- Click on the Select IPSW option. Point Redsn0w towards the IPSW file which you downloaded in Step 3. If you're already running iOS 5.1.1, then point it towards that said firmware and so on. Click on Open when you've found the required IPSW.
- Redsn0w will now ask you whether if you have an older bootrom iPhone 3GS or a new one, read the on-screen instructions very, very carefully before you proceed, as it may potentially lead to the loss of data on your device, or may even brick your device's radio for good.
- Now go back to the main screen of Redsn0w and click on the Jailbreak option. After preparing the jailbreak data – which takes a little while – you will be presented to a set of different options.
- Simply check the Downgrade from iPad baseband and Install Cydia options and click Next. If you're already jailbroken and have Cydia installed then you do not have to check the Install Cydia option.
- At this point, make sure your device is powered off and unplugged. Read the on-screen instructions on how to put your device in DFU mode, don't worry it might take a couple of tries to get it right. Once you're ready, click Next.
- When you're into DFU mode, Redsn0w will do it's thing and proceed with the downgrade of your baseband, don't be alarmed as this step might take a while, so be patient. And best of all; do not touch your device during the whole downgrade process.
- If you followed the steps correctly, your iPhone will reboot and will be on the unlockable 05.13.04 baseband. Simply launch Cydia and use the latest version of Ultrasn0w to unlock your device.
 
Effects mojawapo ya kudowngrade baseband ni kuwa na uwezekano wa idevice yako kutofunction vizuri kwenye gps yake. Alafu nyingine ni kuwa huwezi kuja kuupgrade baseband.

Baseband 06.15 ninayotumia ni mojawapo kati ya baseband nzuri tu ambayo huwa inaweza kuwa jailbroken na kuunlock.
Sijajua hili tatizo linatokana na nini?

wewe ulisolve vipi?..au ndo kwa njia ya kudowngrade baseband?..any effects ulizozipata..?
 
kuDowngrade from iPad Baseband to iPhone baseband ndio inatakiwa ili kufix hayo matatizo ya GPS, restore na battery usage. iPad baseband haitakiwi kwenye iPhone kwasababu ya structure ya hardware yake na unapo Upgrade kwenda 06.15 unalazimisha hardware ya iphone kupiga kazi za iPad hivyo lazima ita underperform! mfano: battery ya ipad ina almost 7000mAh na iphone 1432mAh unapolazimisha ipad baseband kwenye iPhone unaifanya iongeze zile processes kama za ipad na ndio inayosababisha charge kuisha ndani ya masaa tano - kumi kwa matumizi ya kawaida! pia ukiweka iPad baseband kwenye iphone sometimes utashindwa kuRestore kupitia zile stock firmwares mpaka utumie custom firmwares from snowbreeze/pwnage. yangu niliiuza hivyo hivyo bila network, nakushauri ushushe bb to 05.13.04 (iPhone BB). NilishaDowngrade iPhone ya mtu bila tatizo...ukishindwa kabisa, nenda tech. center,,,,
 

So unataka kuniambia kuwa BB 06.15 ni ya ipad?..mbona mi niliikuwa kwenye simu? Alafu nikishusha BB hamna athari yoyote inayoweza kunitokea?..I really need to use my phone..I'm addicted to it.. sasa hivi inatumia ios 6.1 but ndo hivyo naitumia nikiwa home tu sababu ninawireless na kusikilizia nyimbo kama ipod..
Nataka kuwa na uhakika tu kwamba kudowngrade BB ndo solution na kwa mba hii process ya kudowngrade nikishafanikiwa haitaleta madhara baadaye..
Nahisi kuna post niliiona ya mtu mwenye tatizo kama hili lakini hakuweza kutatua hata alipodowngrade BB..Nitajaribu kugoogle nikikutana nayo tena nitakutumia link..
 
BaseBand 06.15 ni iPad baseband, inaonekana kuna mtu aliUpgrade baseband kwenye hiyo simu kabla ya wewe kuimiliki..kama huna uzoefu na iphones ni bora uende kwa fundi simu.
 
BaseBand 06.15 ni iPad baseband, inaonekana kuna mtu aliUpgrade baseband kwenye hiyo simu kabla ya wewe kuimiliki..kama huna uzoefu na iphones ni bora uende kwa fundi simu.

uzoefu ninao lakini sio sana..sioni sababu ya kwenda kwa fundi wakati na mimi pia nataka kujifunza hivi vitu...
nilipoijailbrake sikwenda kwa fundi..nilitafuta redsno tu na nikasoma maelkezo nikaweza.. so naamini hata kwa hili tatizo nikielekezwa nitaweza tu.. ningependa nijifunze mwenyewe na ndio maana kabla sijafanya nataka nijue endapo nitakosea kama kutakuwa na adhari yoyote au la..
 
Brakelyn, nimefanikiwa ndugu yangu.. nashukuru sana kwa ushirikiano wako..nimedowngrade BB mambo yakawa solved..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…