Msaada: Unfortunately Voice Command has stopped

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Msaada wa kutatua hili tatizo Unfortunately Voice Command has stopped kwenye simu ya tecno C8.
 
Pole sana mkuu.Jipange ununue simu aina nyingine nje ya kampuni la Tecno.Bei ni hizo hizo za kawaida tu.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kwa ishu yeyote ya kusema app has stopped unachotakiwa ni kwenda kwenye settings halafu app management kisha unaifuata app inayostop unaclear cache na data.

Hapo inatakiwa imalize tatizo kama halisababishwi na kirusi au internal memory kujaa. Kama linaendelea na siyo kirusi au internal memory kujaa jaribu kurestore simu, kama linaendelea install firmware nyingine.

Hili ni suluhisho kwa android zote.
 
Sawa mkuu nimekupata
 
Mara nyingi huwa ni virus,
 
Tumia njii ila ikikataa unistall hiyo app, ikigoma na apo ni factory reset ndo last option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…