Sim yangu ya samsung galaxy s5 inanipa ujumbe wa "unfortunately contacts has stopped" kila nik-click contacts.
Nimejaribu kui-format & reboot lkn tatizo likiasha kwa masaa kadhaa tu na kisha kuanza tena.
Naombeni msaada wa kitalaam na kwa wale wenye uzoefu pia.