Msaada unahitajika please!

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Wadau nimerudi tena nategemea naweza kupata jibu lingine zuri kutokana na maelezo ambayo nitayapata kutoka kweu...So ni kwamba baada ya kupata hili tatizo ambalo laptop yangu huwa ina matatizo hayo ya kuzima na kujiwasha baada ya hapo unapata page ya blue na maneno haya hapa chini

stoop: C0000218{Registry File Failure}
The Registry cannot load the hive{file}
\systemroot\system32\confiq\software
or its log or alternate
It is corrupt,absent or not writable.
Beginning dump of physical memory
Phyisical dump complete


Sasa nilichofanya nikachungua CD yangu ya window xp nitaiweka then ikaanza kujiinstall baada ya dakika 4 hivi ikaja window ya blue inanitaka ni press R ili ijiinstall lakini nikipress hiyo R naona inagoma kabisa na napata haya maelezo

Setup did not find any harddisk drives installed in your computer
Make sure any harddisk are powered on and properly connected to your computer, and that any disk related hardware configuration is correct.This may involve running a manufacurer supplied diagnostic or setup program.
Setup cannot continue.To quite setup press F3


Sasa pia kwenye hii LAPTOP sina data za muhimu je nifanyeje niweze kusort out hii problem maana kwanza hata hiyo R naona haifanyi kazi yoyote so mpaka sasa sijui nifanye nini...Naombeni msaada wenu please najuwa hapa hamna kinachoshindikana!!
 
make and Model ya laptop?

Kama ina SATA harddrive inabidi uidisable SATA kwenye BIOS kabla ya kujaribu kuinstall windows, otherwise unabidi uinstall Drivers za Hardrive.
 
Asante sana mkuu kwa kuweza kunijibu hiyo laptop yangu manufacture name MEDION na Product name WIM2100

Theni nikitaka niipate hiyo BIOS si inabidi nitumie F10 or F12 or which one natakiwa nii press niweze kuacess kwenye BIOS??
 
Kwa kawaida huwa inasema PC ukiiwasha, e.g "Press F2 to Enter Setup"

Kama haisemi basi ni trial and error.
 
possibility is the hard drive is damaged in some way. Many disks have bad sectors and you won't know about them until you attempt to write over the sectors during a specific operation. If you can boot from your install CD, you will be presented with the option to Repair or Recover the Windows XP installation. Pressing R launches the Microsoft Recovery Console which then asks for the Administrator password. After entering the password, run chkdsk to check the drive for errors by typing chkdsk /r at the command line. If chkdsk finds errors, you may need to use chkdsk /f to repair the errors before proceeding.
 
kama hakuna data zozote za muhimu kwenye computer yako,tumia hiyo hiyo cd ya Windows Xp kuformat kabisa then install hiyo operating system (Windows Xp) kisha Lap top yako itakuwa safi kabisa.
 
Kwa kawaida huwa inasema PC ukiiwasha, e.g "Press F2 to Enter Setup"

Kama haisemi basi ni trial and error.

Asante sana mkuu nadhani nitajaribu kama ulivyoelekeza hapo hamna noma!!
 
mkuu hilo sio tatizo cha msingi wewe jua ni jinsi utaboot from cd maana hii inatakiwa uingie kwenye bios na uset hivyo! jinsi ya kuingia inategemea na pc yako, yaweza kuwa kwa kupress f2 or f2, hapo utapata jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…