Nilifanya e-interview ya ifad miezi kadhaa iliyopita, jana wamenitumia email kwamba ni verify vyeti kupitia World Education Services (WES), kama kuna mtu anauzoefu na hili jambo naomba anisaidie maana naona gharama ni kubwa sasa sitaki nikurupuke
View attachment 2349951