Msaada: Umri wa mtoto kucheza tumboni

Msaada: Umri wa mtoto kucheza tumboni

Jadit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2019
Posts
273
Reaction score
212
Habari rafiki zangu,naomba kuuliza mtoto huanza kucheza tumboni akiwa na miezi mingapi??
 
Salama kikawaida kwa ujauzito wa kwanza hisia za mtoto kucheza uanza akiwa kati ya wiki ya 18 mpaka wiki ya 22

Na ikiwa sio mimba ya kwanza uwa ni kuanzia kati ya wiki 16 mpaka 20
 
Mungu akubariki nashukuru kunielewesha ni yakwanza ina miezi mitatu Sasa naanza wanne.
 
Mtoto anaweza kuanza kucheza tumboni mwa mama yake akiwa na miezi mitano hadi tisa ya ujauzito. Kwa wakati huo, mtoto amekua vya kutosha kuwa na uwezo wa kujibu na kucheza na sauti, mwanga, na harakati za mama yake. Hata hivyo, inawezekana kuwa mama hatahisi harakati hizo za mtoto kwa sababu ya sababu mbalimbali kama vile ukubwa wa tumbo la mama, umbo la kizazi, au usuli mzito wa mama.
 
Asanteee Mpenzi nashukuru Sana
 
Back
Top Bottom