MUSSA GUETTA
Member
- Oct 11, 2015
- 38
- 2
jaman naomba msaada wa mawazo...nlpangwa na tcu
st joseph bachelor of computer engineering sasa
nmefanya transfer to hubert kairuk kuchukua
medicine...tatizo mkopo niliopewa n wa computer
engineering...naomba mnisaidie mawazo je ninaweza
kuappeal helsb coz ada ya MD n kubwa sana
ukilinganisha na mkopo niliopewa na MD n special
faculty...tafadhalin mweny ushaur plz
Kwanini unahama bila kufanya uchunguzi wa ada na mkopo?haina jinsi nenda kalipe kwanza then apeal next year unaweza pata mkopo mzuri,,,
jaman naomba msaada wa mawazo...nlpangwa na tcu
st joseph bachelor of computer engineering sasa
nmefanya transfer to hubert kairuk kuchukua
medicine...tatizo mkopo niliopewa n wa computer
engineering...naomba mnisaidie mawazo je ninaweza
kuappeal helsb coz ada ya MD n kubwa sana
ukilinganisha na mkopo niliopewa na MD n special
faculty...tafadhalin mweny ushaur plz
Asanten wadau...nimewaelewawe unawajua bodi.ni rigid hawaelewi watakusumbua p,usipokuwa makini utakosa mkopo,we hama ila uwe mbishii
jaman naomba msaada wa mawazo...nlpangwa na tcu
st joseph bachelor of computer engineering sasa
nmefanya transfer to hubert kairuk kuchukua
medicine...tatizo mkopo niliopewa n wa computer
engineering...naomba mnisaidie mawazo je ninaweza
kuappeal helsb coz ada ya MD n kubwa sana
ukilinganisha na mkopo niliopewa na MD n special
faculty...tafadhalin mweny ushaur plz
KUAMISha mkopo ni kwenda NACTE unaandika barua webyew nacte ndo wana iprocess ..kwenda Helsb maana ukienda helsb wanakwambia nenda nacte ..so hao woote hapo juu naona wanaongea bila kufanya tafiti ..mm nimeenda pale nimepewa maelezo
Mkuu umepataje hiyo transfer? Mbona medicine siioni kwenye list ya transfer.. Help plz
kaka nilienda kairuk moja kwa moja nkaongea nao kikubwa hlf wakapeleka jna tcu...ila hujachelewa wah kairuk hata kesho uongee nao wakiridhika na tokeo watakuchukua kama chance zpo...ndo ivo mkuu
Mikochen....fka had victoria hlf utaona kibao kaka...la msing we wakazie maana nackia cku iz wanabana pamejaaThanks .. Kipo wapi mkuu?? Mie nipo dar
Mikochen....fka had victoria hlf utaona kibao kaka...la msing we wakazie maana nackia cku iz wanabana pamejaa
Poa kka asante.. Ntaenda kesho panapo majaaliwa.. Hopefully ntapata in shaa Allah.