P phyn78 Member Joined Jul 2, 2015 Posts 11 Reaction score 0 Jul 14, 2015 #1 Kwa anaefahamu chochote kuhusu chuo cha mipango Dodoma Ada yake, faculty na mazingra anifahamishe
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,922 Reaction score 8,525 Jul 14, 2015 #2 Ndio nini umeandika hapo juu? kama kichwa cha habari.
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 Jul 14, 2015 #3 anaefaham mazngra [h=2]xaiz[/h]ngoja waje wanaoelewa hiyo lugha!
Nkanaga JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 653 Reaction score 623 Jul 14, 2015 #4 Andika vizuri heading yako, toa hizo xais zako, la sivyo watu watapita tu, hapa watu wapo nakini na kila unaloandika.
Andika vizuri heading yako, toa hizo xais zako, la sivyo watu watapita tu, hapa watu wapo nakini na kila unaloandika.
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,411 Reaction score 4,200 Jul 14, 2015 #5 xhaka ondoa m2 wangu phyn78 utapata mxaada xaxa hivi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zingzingzing JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 850 Reaction score 904 Jul 14, 2015 #6 Meme Nakifaham.
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,678 Reaction score 5,492 Jul 14, 2015 #7 xawa nicheck mida ya 9ty maninja wangu wakiback niwaulixe.
P phyn78 Member Joined Jul 2, 2015 Posts 11 Reaction score 0 Jul 14, 2015 Thread starter #8 Wanaoelewa watajibu kama unaona huelewi we pita 2 kimya kimya
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,445 Reaction score 170,736 Jul 14, 2015 #9 Makubwa.... majengo ya chuo yamepakwa rangi, chuoni kuna miti na pia barabara imepita pale afu kipo Dodoma
Makubwa.... majengo ya chuo yamepakwa rangi, chuoni kuna miti na pia barabara imepita pale afu kipo Dodoma
Nkanaga JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 653 Reaction score 623 Jul 14, 2015 #10 phyn78 said: Wanaoelewa watajibu kama unaona huelewi we pita 2 kimya kimya Click to expand... Sasa mbona umesahihisha? Jifunze kurekebishwa ndiyo kujifunza kwenyewe. "KIBURI SI MAUNGWANA" wahenga walisema.
phyn78 said: Wanaoelewa watajibu kama unaona huelewi we pita 2 kimya kimya Click to expand... Sasa mbona umesahihisha? Jifunze kurekebishwa ndiyo kujifunza kwenyewe. "KIBURI SI MAUNGWANA" wahenga walisema.