Msaada Udsm

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habarini za jioni,Leo kwenye account yangu ambayo nilitumia kuapply chuo kwa upande Wa Udsm wameandika hivi
STATUS : Successfully selected on : Bachelor of Arts with Education (UD012)


RESULTS COMMENTS
>>>You have multiple admission offers and you have not CONFIRMED your admission to this institution !. If you wish to CONFIRM your admission offer to this institution, please clickCONFIRM.

Sasa TCU hawajanitumia hizo codes na mwisho in Leo...lakini mwanzoni ilikuwa imeandikwa nimechaguliwa na nimekuwa confirmed kibaya zaidi kwenye list ya multiple selected ya TCU jina langu silioni..ushauri wenu wadau
 
.
Aisee kuna dogo pia huku analalamika
 
List ya TCU ya watu ambao wenye multiple selection huwa inakuwa updated Mara kwa Mara kwahiyo vzr ukaangalia Ila kama ujakuta kwenye list ambayo ipo updated bac ujue hivyo vyuo hawajatuma taarifa zako TCU ndo mana hauja tumiwa code kwahiyo vzr ukawasiliana na chuo ambacho unataka kwenda watakusaidia Ila kama jina lako lipo kwenye list ya TCU na hukutumiwa code bac nenda kwenye office zao pale magogoni kuna karatasi ujapewa unajaza ndani ya masaa machache unatumiwa code na watu wenye matatizo hayo in wengi na wanasaidiwa kama upo dar bora uwende
 
xijui tatz ni nn jamn
 
Mnataka muwakaange mapema Contena jipyaaa..
 
wadau habari!
Vipi ishu ya hostel huko udsm,Bado ni changamoto? Kuna mdogo wangu yuko mkoa kwa sasa anaingia mwaka wa pili kaniomba nmchekie kama atapata au bado ni ishu kama zamani
wenye taharifa anipe plz
 
Tulio fanya application sec round matokeo yameshatoka msaada kwa anaye fahamu
 
Habari za asubuhi ndugu zanguni.
Msaada, selection za postgraduates kwa batch ya pili zitatoka lini? Udsm
 
Na vipi kuhusu competition kwa masters wadau?
Nimeaply program....MSc IN CHEMISTRY.
 
naona nishakosa chuo je naweza kufanya application chuo kikuu cha makelele uganda anayefahamu taratibu zao zipoje kukaa nyumbani mwaka mzima si vizuri
 
naona nishakosa chuo je naweza kufanya application chuo kikuu cha makelele uganda anayefahamu taratibu zao zipoje kukaa nyumbani mwaka mzima si vizuri
Tafuta scholarship uende kusoma nj'e Mkuu changamkia fursa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…