Msaada Udhamini wa masomo Diploma

Makini Sana

Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
28
Reaction score
14
Habari wakuu

Mimi ni mwanafunzi wa courseu ya diploma uuguzi na ukunga(nursing and midwifery) kilichonileta hapa ni kuomba msaada wa mawazo kwa ninashindwa kulipa ada kutokana na matatizo ya kifamilia yanayonikuta

Naomba kama kuna mtu anaefaham taasisi au shirika au mtu binafsi anayedhamini masomo anisaidie maana naelekea kukata tamaa
 
Kupata mkopo kuna changamoto,kama ulishafanya field kwenye hospital binafsi,unaweza kutumia nafasi hii kurudi pale...ukaomba wakusaidie ili umalize,na baadaye ufanye kazi pale kwa makubaliano yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…