ndio hii naitumia kukoment hapa,P40 hii yangu inatatizo la memory card kucheza,unaweza kutumia km three hr,ikaandika memory card removed,inaniboa KATIKA hali hii,Mara ya kwanza nilizani imeregea,nikajaribu kuibana,lakini imeendelea hivyo,mfano hapa imeshatoka,ninazima simu dk kazaa,nikiwasha inakua poa,ikikaa inajirudia