Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Ac mnazo? Samahani kwenda nje ya madaNina Sumsung 42 na 55
zipo Zanzbar
Bei poa sana
Ila usafiri juu yako
Asante sana, please inbox me please.Nina Sumsung 42 na 55
zipo Zanzbar
Bei poa sana
Ila usafiri juu yako
Sina nia ya kukukatisha tamaa au kuharibu biashara ya mtu lakini nakutahadharisha sana uwe makini! Uwe makini sana sana kwani ni wengi wamelizwa kwenye mitandao. Usitume fedha kwa mtu ambaye humjui au ukituma chukua tahadhari zote.
Nina Sumsung 42 na 55
zipo Zanzbar
Bei poa sana
Ila usafiri juu yako
Sina nia ya kukukatisha tamaa au kuharibu biashara ya mtu lakini nakutahadharisha sana uwe makini! Uwe makini sana sana kwani ni wengi wamelizwa kwenye mitandao. Usitume fedha kwa mtu ambaye humjui au ukituma chukua tahadhari zote.
Samahani kwenda nje ya mada. Naweza pata kioo cha TCL 55"?Nina Sumsung 42 na 55
zipo Zanzbar
Bei poa sana
Ila usafiri juu yako
Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa - JamiiForumsHello Wana GT .Natumaini mnaendelea vizuri na mihangaiko yenu ya Kila siku vizuri, mimi niko mkoa wa Kilimanjaro maeneo ya Kia nahitaji msaada kwa anayejua Brand nzuri ya TV INCHES 55 SMART TV AMBAZO BEI ZAKE SIO ZILE ZA KUUA KAMPUNI ,Asante sana na muwe na siku njema View attachment 1030856
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe mkuu wangu.Zenji noma sana unaweza kulipishwa ushuru na kodi bandari ya Dar hadi ukavisusa vifaa vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Hata muuzaji naye awe macho.Ushauri wa kuzingatia huu...
Sio tu kwa wanunuaji hata sisi wauzaji tunapaswa kua makini sana tushalizwa sana huku tuma mzigo nikipokea nakutumia hela.
Namna nzuri ni kua na middle men mnunuaji anayemuamini aje akague mzigo akiridhika alipe achukue chake