Father Peace
Member
- Apr 2, 2012
- 17
- 3
Wadau poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi ni mtanzania na hivi sasa niko ughaibuni kwa shughuli za kikazi na natarajia kurudi bongo(Dsm) mwezi ujao April. Nikiwa huku ughaibuni nimekuwa nikifanya mazoezi ya viungo kila siku kwenye Gymnasium jambo ambalo napenda kuendelea kufanya nitakaporejea Dsm.
Hivyo naomba mwenye kufahamu sehemu ya Gymnasium nzuri Dar anipatie info. Natarajia kuwa na makazi yangu Tabata External hivyo ntashukuru kupata gymnasium iliyo karibu na maeneo hayo ili at least niweze kupita muda wa jioni kupiga zoezi kidogo baada ya mihamngaiko ya mjini.
Ntashukuru sana kupata info zozote.
Otherwise,be blessed Members!!
Regards