Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
si condom zipo jamaaWengine wanaogopa kupata Ngwengwe na magonjwa ya zinaa ndio maana
Ndio muda mwingine ladha ya tendo inanoga mpaka ndomu inasahaulika au inatumika kama mara mbili tatu baada ya hapo ni kumwagia njesi condom zipo jamaa
Hehehehe... tumshukuru Mungu"Kwa mwoga huenda kicheko na kwa jasiri huenda kilio" Kujilipua 3:1. Na hilo ndo neno letu la siku ya Leo.
Ndipo hapo mnalizwaga wajanjaNdio muda mwingine ladha ya tendo inanoga mpaka ndomu inasahaulika au inatumika kama mara mbili tatu baada ya hapo ni kumwagia nje
mje moneytalk Seth saint Cr wa familiaHappy Monday guys!
Wahenga walisema, "mtu muoga hufa mara 10 kabla ya wakati wake" ... uoga wanini wakati tunaishi mara moja na kufa mara 1?!
Basi akanijia kisura eti yupo confused ananiomba msaada, nami nika live up to my integrity! Hehe
Kisura: Money Penny me nina kitu kimeniganda ganda hapa kichwani, nahisi nikiongea na wewe kitatokaaa,
Nimepata bwana, ni Popo, tumependanaaaa, tumeshibaaaanaaa, ye kusafiri mkoa kwa mikoa kwa mkoa, si unajua kazi zao.. dont tell me hujui maana ya Popo Money penny?!
Money Penny: mimi tena?! We endelea!
Kisura: lakini sasa me nashindwa kumpa mechi popo wangu, maana niliskia akina Popo ni vitombi balaa yani wale ni wahuuuniiii hakuna mfano, walimu watasubiri miaka 1000, yani wamekubuhu kwenye ufuska! Naogoopaaa asije akani hurt my feelings!
Money Penny: mami me kila siku nawaambiaga watu kama nyie, kuwa haijalishi nani aliepita, amepita na atapita kwenye maisha ya huyo mtu wako (popo) na akaukachezea mdusheeee kwa style zoooteee, ikifika zamu yako you just keep on dancing,
Hata kama mziki ni ule ule, enjoy the ride, to the fullest!
Unajua watz ni waoga sana mnaogooopa baada ya kuenjoy mechi mnaogooopaaa na kuwa na maswali vichwani, nani aliepitaaa, itakuwajee baadae, asiponipeeendaaa itakuwajee, akiniumizaaaa jeee, fukc that!
Je kama ana mke au mchumba afu me nikawa side chic au ntaitwa a whore!
Ivi Kisura, kwani wewe ndio umemfuata huyu popo au yeye popo ndo kakufuata?!
Afu wanaume vitombi ndo wazuri ujue wanakupa darasa na wewe utawafundisha wenzio na kuwa noumer in fyucha! Hao popo ningewapata mimi mbona wangepanga foleni kunitafutaaa! gademit, bahat zingine sjui kwanini hamzitumii vizuri!
Relationship isipo work out, fukc that, ilimradi we ume enjoy the game to the fullest hauna cha kuloose
Kisura: du! Kweli we ni money penny, nitautumia ushauri wako usijali asante sana
Money Penny na mie skunyingine nakuwaga mkaaavu, hasa nikiwa na genye!
Eti wana Jf wana MMU, waoga mnawaelewaje wenzangu?! Hihihi
Mkimaliza ku comment mje msome stori zangu, bonyeza hapa
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
Nakuona(I see U)ππ€π€
ni sheedahNimependa hapo "hata kama mziki ni uleule enjoy the ride" π
Anyways ingawa kwa sasa kumpata mwanaume hasa mzee wa root ambae sio kitombi labda usubiri kizazi hiki kipite kije kingne tofaut na hapo mvumilie tu akienda mbali na wewe if possible mtengee hata salama packt kama 5 then mtakie safari njema na maombi juu arudi salama aendako alafu akirud nawe mpe style zako mpya mpya bas na life goes on lakin pia sio wote ni vitomb* ila mpaka umpate huyo ambae sio [emoji23]π Kama huwez mwache aende kwa atakaemuweza