Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 278
Sasa na kwenye mpira ikiwa kilainishi si mpira unakua unateleza?Mate ni kilainishi.
Deki hili la wazee wa kulamba chumvi?anyways kazi ya mate ni kupiga deki
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444]Weka mate niteleze [emoji445]Kama nyoka pangoni [emoji450]- sielewi.
Mate pia ni antiseptic liquid, hata mbwa akiwa na kidonda anakilamba.
KULA dendaSalaam Wanajamvi,
Kwa sisi ambao tumecheza chandimu hadi kufikia gozi enzi hizo mwenye mpira hafanyiwi sub. Leo nimekaa nimewaza kwa kina sana, nadhani hali ya mvua pia ya Jiji la Dar es Salaam na ugeni wenyeji umechangia. Zamani kipa akitaka adake mpira hasa hasa kwenye penalty anatemea mate kwenye mikono au hata gloves hii nimeona hata kwenye mechi kubwa kubwa baadhi ya makipa hufanya hivi.
Lakini pia ukitaka kutunga uzi kwenye sindano ili ukae vizuri na kunyooka unafanya kulamba ncha yake. Kwenye masuala ya kutenda haki na kutimiza wajibu wa ndoa ili vikojoleo vipite kwa urahisi unapaka mate, pamoja na uzee wangu huu napata sintofahamu kidogo ina maana mate yanakua yanajua wapi yanahitajika kuteleza na wapi kukamata?
Naomba kuwasilisha.
buji njoo huku
Msemo usio rasmi ukimaanisha msaada sehemu ambayo haipaswi kusimama, hasa barabarani. Kwa muktadha wa uzi ni kujadili hoja changamshihivi tutani ni nini?
Ubunifu mzuri? Shukrani mkuu kwa jibu la kitabibuKazi ya mate ni kulainisha chakula na kuweka kinywa kuwa na unyevunyevu muda wote
Hivyo vingine ni ubunifu wa watu binafsi
Kumbe nyoka nae hutema mate ili ateleze pangoni?[emoji444]Weka mate niteleze [emoji445]Kama nyoka pangoni [emoji450]- sielewi.
Deki hili la wazee wa kulamba chumvi?