antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 452
- 886
Ngoja waje mkuuWakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions& balance kwa kutumia Django framework
Nimecheki video za freecodecamp pale YouTube sijaona hii kitu pia udemy na Coursera nimecheki labda napata nako nimekosa
Natanguliza shukrani [emoji120]
Lengo langu iweze kusoma balance kwa kila user akilog in kwenye system pia iweze kuwithdraw, kutransfer, na deposit funds kwa TZS from local networksNgoja waje mkuu
mkuu ulifanikiwa hii kituWakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions& balance kwa kutumia Django framework
Nimecheki video za freecodecamp pale YouTube sijaona hii kitu pia udemy na Coursera nimecheki labda napata nako nimekosa
Natanguliza shukrani [emoji120]