Msaada tutani..(Kuweweseka usiku)

web engineer

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
55
Reaction score
0
Salaam.

Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani.

Naombeni kujuwa tatizo ni nini?
Asanteni
 
Salaam..
Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku,anaongea wakati amelala.Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani...
Naombeni kujuwa tatizo ni nini?
Asanteni

anawaza sana km cyo kuongea sana mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…