msaada - TOYOTA WISH

BCR

Senior Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
101
Reaction score
12
habari za saizi wadau
samahani naomba kujua, ivi TOYOTA WISH ni gari zuri, maana nimetaka kununua ipsum ila kwa ingine capacity ni kubwa CC 2400 na niliyoipata ni 4WD, gari mbadala inayofanana na hiyo nikapewa TOYOTA WISH yenyewe ni CC 2000 na ni 2WD.
naomba mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia hii gari

CIF 4250 USD
, MILEAGE 124 KM ORIGINAL

[TABLE="class: yiv673021156table yiv673021156td"]


[TR]

[TD="class: yiv673021156main_heading, colspan: 5"]TOYOTA WISH 2004 Stock ID 253254
[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]







CIF 4950 USD , MILEAGE IS 161 KM



[TABLE="class: yiv1099660149table yiv1099660149td"]


[TR]

[TD="class: yiv1099660149main_heading, colspan: 5"]


TOYOTA IPSUM 2004 Stock ID 240225





[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu pia itabidi uchunguze kama spea zake zinapatikana ukanda huu wa Afrika Mashariki!
 
Reactions: BCR
asante mkuu, unamjua mtu yeyote anayeitumia ili nijue angalau kama ni gari imara na haina matatatizo ya mara kwa mara,
 
nice car kwa vile toyota spea zipo mkuu bongo,
bei nzuri lichukue na pitia kwa agent anaefahamika huwa wanapunguziwa ammount na agiza kwa jina lako c/o adress ya huyo agent bank kalipie mwenywe agent unampelekea TT peke yake aanze mchakato wa kukufuatilia.
Toyota Corolla Spacio NZE121N(2001) / X-G EDITION / US$1,860 / 84,987 km / KOHAN TRADE Co.,Ltd. - Japanese Used Car [ tradecarview ] angalia hili cc 1500.



la pili cheki hili pia magari imara Toyota Corolla Spacio NZE121N(2001) / X-G EDITION / US$1,860 / 84,987 km / KOHAN TRADE Co.,Ltd. - Japanese Used Car [ tradecarview ]
kama wapenda pia magari ya ford explorer kwa hiyo hela yako utapata la CC 2000 NA MSIMU HUU MAGARI YAKO BEI CHINI
KAZI KWAKO.
 
Reactions: BCR

Thanks Mkuu. Umenisaidia na mimi pia. Blessings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…