ratiba yako ya siku ikoje(on average na muda halisi wa matukio).....huwa unakula nini....mazoezi unafanya?....hivi vinaweza kusaidia kugundua tatizo..
hizi topic zinaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine...asubuhi kazini, nkirudi itategemea kama nina tushughuli twa hapa na pale ..mazoezi sifanyi kabisa ila kazini ni mbali wastani sometimes naamua kutembea tu..kula ni kasheshe nkinywa chai sometimes mchana sili kuja kula jioniii au usiku chakula chenyewe nagusa gusa tu !
hizi topic zinaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine...
[h=1]Topic: Kulala sana ni ugonjwa?[/h]
[h=1]Topic: kulala kupita kiasi[/h]
cc:
MziziMkavu
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=13422
hapana ni wa kati tu..
hapana jamani nina kilo chini ya 55 eti!
Utakuwa unanenepa
Oooh......God Forbid........