poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 456 Reaction score 175 Aug 23, 2012 #1 habari wanaukumbi Nina flash ya ukubwa wa 4gb,ambayo kwa sasa imegoma kudelete file lolote lililondani yake wala kuingiza chochote.Nikijaribu kuiformat inakataa na kutoa ujumbe huu,the disk is write protected.Naomba msaada wenu wataalamu
habari wanaukumbi Nina flash ya ukubwa wa 4gb,ambayo kwa sasa imegoma kudelete file lolote lililondani yake wala kuingiza chochote.Nikijaribu kuiformat inakataa na kutoa ujumbe huu,the disk is write protected.Naomba msaada wenu wataalamu
Wij JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 478 Reaction score 142 Aug 23, 2012 #2 yaani hiyo weka kwenye dustbin ,nilikuwa nayo ikawa na tabia hizo niliangaika mpaka nikashindwa.nilipata mawazo tofauti humu jf lakini haikusaidia.
yaani hiyo weka kwenye dustbin ,nilikuwa nayo ikawa na tabia hizo niliangaika mpaka nikashindwa.nilipata mawazo tofauti humu jf lakini haikusaidia.