Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 683 Reaction score 200 Jul 9, 2019 #1 Habari,kwa wale wanaozitumia hizi simu tecno spark k7 ninaomba kufahamu namna ya kuhamisha apps kutoka internal storage kwenda kwenye sd card.
Habari,kwa wale wanaozitumia hizi simu tecno spark k7 ninaomba kufahamu namna ya kuhamisha apps kutoka internal storage kwenda kwenye sd card.
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,167 Reaction score 43,984 Jul 9, 2019 #2 Apps huwezi hamishaa labda Apks zake...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] apps zinakaa kwenye simuuu
Apps huwezi hamishaa labda Apks zake...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] apps zinakaa kwenye simuuu
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 683 Reaction score 200 Jul 9, 2019 Thread starter #3 Hizo apk unahamishaje