July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Tafuta box utaitoa hyo privacy protection.. Ni issue ya ant thefthabari zenu wataalamu..
nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwene simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
nahs niliwah kiactivate antitheft alafu sikumbuki pin..
nahsi hii kitu itakuwa ni bug.
asanteni kwa mtakaochangia hatimaye nisolve tatizo hili..
mbarikiwe.
Hiyo ilishawah kunitokea kwenye sim kama yako.. Nilihangaika sana mwisho wa siku niliishia kuiflash tuhabari zenu wataalamu..
nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwene simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
nahs niliwah kiactivate antitheft alafu sikumbuki pin..
nahsi hii kitu itakuwa ni bug.
asanteni kwa mtakaochangia hatimaye nisolve tatizo hili..
mbarikiwe.
nisaidie link ya rom kama unayo.. alafu baada ya kuflash kuna bugs zilizotokea??Hiyo ilishawah kunitokea kwenye sim kama yako.. Nilihangaika sana mwisho wa siku niliishia kuiflash tu
naomba unisaidie link mkuu..Tafuta box utaitoa hyo privacy protection.. Ni issue ya ant theft
imetoka tayari mkuu..Hata ukiflash haiwezi kutoka (Do not try at home)
sema ndo hivo nimeweka tatizo jingneimetoka tayari mkuu..
Shida nnsema ndo hivo nimeweka tatizo jingne
nimeiflash ikaondoa iyo lock.. sema kioo ni cheusi sioni kitu.. ninaweza kuswipe nikascreenshot kitu..sema sikioni.. nikiipachika kwene pc na kuingia kwene memory> pictures.. naziona hizo screenshot..Shida nn
Hkutakiwa kuflash bro...nimeiflash ikaondoa iyo lock.. sema kioo ni cheusi sioni kitu.. ninaweza kuswipe nikascreenshot kitu..sema sikioni.. nikiipachika kwene pc na kuingia kwene memory> pictures.. naziona hizo screenshot..
kama unayo rom nyingine naomba unisaidie mkuu
shukrani..
hiyo itakuwa ilikuwa user lock siyo private lockimetoka tayari mkuu..
nimefanikiwa kuipeleka v6.0.1. ikiwa katika mystic os 7..
Yani ww unatakiwa kurudi stock rom mkuu ulishapata majanga...nimefanikiwa kuipeleka v6.0.1. ikiwa katika mystic os 7..
tatizo napata invalid imei..any ideas???
hakuna kurestore efsYani ww unatakiwa kurudi stock rom mkuu ulishapata majanga...
Invalid imei angalia baseband na imei zipo?
Kama hazipo unatakiwa ku restore efs mkuu
Just rebuild imei it will be finenimefanikiwa kuipeleka v6.0.1. ikiwa katika mystic os 7..
tatizo napata invalid imei..any ideas???