Msaada tatizo la speed kwenye laptop

chipalila1

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
259
Reaction score
32
Wadau natumia laptop aina ya Asus core i5 tatizo lake kubwa ni speed ndogo kwan inazidiwa hata na pc zenye dual core, window ninayotumia ni window 8 na Linux, ram ina 4gb lakini inaonesha ram iliyotumika n 3.7. Wataalamu nisaidien tatizo litakuwa nini hasa.
 
i5 ipi? zipo i5 za kizamani na nyengine zipo slow.

Una program kama ngapi kwenye PC? maybe mwenye dual core ana program chache wewe una program nyingi.

Pia mara kwa mara hakikisha task manager ipo pembeni kumonitor perfomance na kujua program gani zinakula sana cpu na ram. bonyeza ctrl+alt+delete kuipata task manager, au right click taskbar kisha click taskmanager.
 

hiyo cpu ina speed gani?

i5 huwa nyingi zinasupport turbo boost. je huwa speed inashuka unapowasha computer tu ? au ni baada ya kutumia kwa muda?

je una hakika wakati unazima computer huwa inazima kweli au inaenda STANDBY au HYBERNATE.?

umejaribu ku restart pc completely?
 
Hilo tatizo ni tangu window ikiwa fresh(Mpya)? au limeanza hivi karibuni? kama limeanza hivi karibuni kunauwezekano wakawa virus, Jaribu kutafuta antivirus Ambayo ipo stable update then fanya full Scan.
 
Speed inakuwa ndogo ninapofanya kazi, mfano kuna game kwenye machine nyingine linacheza vzur but kwenye mashine yanngu lina kwamakwama. Turbo boost in software?
 
Hilo tatizo ni tangu window ikiwa fresh(Mpya)? au limeanza hivi karibuni? kama limeanza hivi karibuni kunauwezekano wakawa virus, Jaribu kutafuta antivirus Ambayo ipo stable update then fanya full Scan.
Ahsante Mkuu.

Antivirus ndio shida zipo nyingi hadi nashindwa kujua ipi n nzut.
 

Hapa tatizo ni Ram na Cpu
Kutokana na melezo yako
Hebu nenda kwenye task manager
Na jaribu ku dis-able some useless softwares ili ram iwe standard level ya 2.0 to 2.8 GB
Na pia magem unayocheza je yanasapot 4GB ram au Ni six lakini ukaforce....
Pia ukimaliza kufanya hivyo
Zima PC toa hadi batery
Rudisha bateryy washa alaf angalia kama tatizo bado linaendelea unieleze
 
Na pia bila kusahau kwenye laptop zote i3 na i5 zote ni dual core tofauti ni Hypethreading kwa i3 na turbo boost kwa i5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…